Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania akizungumza na wawekezaji
19 January, 2025
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kushirikiana na Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) tarehe 31.10.2024 wamekutana na wawekezaji wa nje na ndani ya Tanzania kwa lengo la kusikiliza changamoto zinazowakabili wawekezaji na kujadili namna bora ya kuboresha mazingira ya uwekezaji nchini.
Habari Mpya
Ufanisi wa Bandari umeongeza mapato ya Serikali
Mwenyekiti wa Bodi aonyesha njia TRA kuvuka malengo