Emblem TRA Logo

Sikika App

Kuhusu programu hii

Programu hii imeundwa kwa madhumuni ya Walipakodi wa Tanzania kutuma maoni au malalamiko yao. Malalamiko/Maoni yanayotumwa kutoka kwenye App hii yatafika Ofisi ya Kamishna Mkuu wa TRA mara moja.

Ukiuza toa risiti, ukinunua dai risiti

"Pamoja Tunajenga Taifa Letu"