Mashindano Ya Vilabu Vya Kodi
22 May, 2024
Shindano la vilabu vya kodi kwa mwaka 2023 limefanyika tarehe tarehe 09 Novemba, 2023 katika Chuo cha Kodi (ITA) – Mikocheni Dar es Salaam, Shule (Vilabu vya kodi) vilivyoshiriki vilikuwa ni 60. Vilabu 12 kutoka mkoa wa Pwani na Vilabu 48 kutoka mkoa wa Dar es salaam ambapo jumla ya wanafunzi 600 na waalimu 120 walishiriki.
Mgeni Rasmi wa Shindano la vilabu vya kodi kwa mwaka 2023 alikuwa Kamishna Mkuu ambaye aliwakilishwa na Naibu Kamishna Mkuu Mkuu Bw. Mcha Hassan Mcha.
Habari Mpya
Mashindano ya Vilabu vya Kodi kwa shule za Sekondari
Mafunzo ya Mifumo kwa Jumuiya za Kodi