Mashindano ya Vilabu vya Kodi kwa shule za Sekondari
11 December, 2024
Shindano la vilabu vya kodi kwa mwaka 2024 limefanyika tarehe tarehe 26 Novemba, 2024 katika Chuo cha Kodi (ITA) – Mikocheni Dar es Salaam, Shule (Vilabu vya kodi) vilivyoshiriki vilikuwa ni 61. Vilabu 13 kutoka mkoa wa Pwani na Vilabu 48 kutoka mkoa wa Dar es salaam ambapo jumla ya wanafunzi 750 na waalimu 122 walishiriki.
Mgeni Rasmi wa Shindano la vilabu vya kodi kwa mwaka 2024 alikuwa Kamishna Mkuu Bw. Yusuf Mwenda.
Habari Mpya
Mafunzo ya Mifumo kwa Jumuiya za Kodi