TRA KAGERA YATEMBELEA KLABU YA KODI SEKONDARI YA KISHAI
21 November, 2025
Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA Mkoa wa Kagera mnamo tarehe 20/11/2025 imefanikiwa kuitembelea klabu ya kodi ya shule ya Sekondari Kashai kwa ajili ya kuwajengea uwezo katika masuala mbalimbali ya kodi. Wanafunzi waliishukuru TRA kwa kuona njia hiyo ya klabu ya kodi kwa ajili ya elimu na kuwajengea uelewa kwa manufaa makubwa ya maendeleo ya taifa Letu.
Habari Mpya